MKURUGENZI WA JEM GOSPEL
MINISTRY
JEREMIA MWAKANYILENGE AKIFUNGUA SEMINA HIYO |
MKUU WA WILAYA MBEYA NORMAN SIGALLA AKIFUNDISHA SOMO LA UTHIBITI WA MATUMIZI YA KIFEDHA KWA WASIO VIONGOZI |
MCHUNGAJI ANYELWISWE A. MWAKANYELEGE AKIFUNDISHA SOMO LA WITO WA KIROHO KATIKA SEMINA HIYO |
WASHIRIKI WA SEMINA WAKIWA MAKINI KATIKA SEMINA HIYO |
WAIMBAJI ALEX ,TUMAINI MBEMBELA , MRS APSTL JEREMIA, SCOLA, FESTINA MWANDWANGA, SAFINA MWATONOKA WALITUMBUIZA KWA NYIMBO ZAO NZURI KATIKA SEMINA HIYO |
WASHIRIKI TOKA SEHEMU MBALI MBALI ZA MKOA WA MBEYA WALISHIRIKI KATIKA SEMINA HIYO |
Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment