Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, January 10, 2014

Hatariii Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mbeya Mpooo? mmeliona hili

Chemba ya majitaka eneo la stendi kuu ya mabasi barabara iendayo Mabatini imefurika ile mbaya leo ni siku ya pili
Hii ndiyo hali halisi
Majitaka hayo yameanza safari
Safari inaendelea kuelekea mto Mabatini
Haya ni maeneo ya kanisa la Wasabato maji taka hayo yanakata kona kuingia mtoni
Maji taka sasa yameingia mto Mabatini
Maji taka hayo yameungana na maji ya mto mabatini  maji ya mto Mabatini hutumika kumwagilia bustani kufulia nguo na hata kuoga je tutapona na mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu?Picha na Mbeya yetu

No comments: