Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, January 9, 2014

BREAKING NEWS: WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA , KATIKA MLIMA NYOKA

 Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka
 Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya
 Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawa
Hapa ni eneo marehemu walipo jaribu kukimbia

Baadhi ya mashuhuda akiwemo mwenyekiti wa Bajaji wa pili kushoto na watatu mwenye begi mgongoni mwenyekiti wa Bodaboda wakiwa eneo la tukio Mlima Nyoka
Picha na Ezekiel Kamanga 


Mbeya yetu Blog

2 comments:

Anonymous said...

jaman inasikitisha sana!2we na roho saf kwel

Anonymous said...

jaman ebu tupunguze ukali wa azabu kwel hasira huja lakini ebu tuangalie njia mbadala.