Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, November 19, 2013

UKATILI WA KIJINSIA WAZIDI KUOTA MIZIZI MBEYA

Mtoto Jesca Varelia 10   mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Mlimani sinde jijini Mbeya anatumikishwa na mama yake wa kambo kuuza mboga muda wa masomo  
Moja ya wateja wakinunua Mboga hizo toka kwa mtoto Jesca
   

3 comments:

Unknown said...

Ndo Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Hayo Jaman.

Unknown said...

Ndo Maisha Bora Kwa kila Mtz Hayo?

Unknown said...

Ndo Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Hayo?