Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 29, 2013

LIVEEE KUTOKA UKUMBI WA MTENDA SOWETO......MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TCRA KANDA YA MBEYA YAFUNGULIWA NA KUFANYIKA ....ENDELEA KUFUATILIA MATUKIO MBALI MBALI

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Crispin Meela  ambaye amemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Mbeya katika sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya TCRA Mkoani Mbeya akifungua sherehe hizo katika ukumbi wa Mtenda Soweto Jijini Mbeya.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mbeya Mhandisi Deogratius Moyo akizungumza machache kuhusiana na maadhimisho ya sherehe za miaka 10 ya TCRA Mkoan wa Mbeya.

Burudani kutoka bendi ya Tripple Double J ikitumbuiza mbele ya wageni waliohudhuria maadhimisho hayo ikiongozwa na Mwinyimusa Kibiga ambaye pia anaulemavu wa macho.
Wadau wa mawasiliano wakifuatilia kwa makini sherehe hizo
Baadhi ya Watumishi wa TCRA Kanda ya Mbeya wakiwa katika sherehe hizo
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Kanda ya Mbeya Mhandisi Deogratius Moyo akitoa mada katika maadhimisho haya


Wanahabari na wadau hawakuwa mbali katika kilele hicho
Mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa sherehe hizo.

Na Mbeya yetu

No comments: