Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, November 6, 2013

BREAKING NEWSSS AZIKWA AKIWA HAI KWA KUTUHUMIWA KAMUUA MWANAE WA KUMZAA KIUSHIRIKINA MBEYA

HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI  KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POLISI

MOJA YA NDUGU WA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKIELEZEA KWA KIFUPI JINSI NDUGU YAKE ALIVYOZIKWA AKIWA HAI HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO MARA BAADA YA KUFUKULIWA MWILI HUO

HILI NI KABURI LA MTOTO  WA MZEE ALIYEZIKWA HAI AMBAYE INASEMEKANA BABA YAKE ALIMUUA  KIUCHAWI


HABARI KAMILI YA TUKIO HILI TUTAWALETEA KESHO

Na Mbeya yetu 

No comments: