Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 16, 2013

BARABARA KUTOKA KITUO KIKUU CHA MABASI JIJINI MBEYA HADI META SASA MAMBO SHWARI


PICHA NA MBEYA YETU

5 comments:

Nemes Josephat said...

ongera jiji la mbeya

Anonymous said...

Mbona mstari wa kati haupo, au ndiyo uwanja wa ndege huo?

Anonymous said...

Ongera Mbeya, lakini je itadumu misimu miwili ya mvua? Je magari mazito yanabanwa vipi ili yasitumie hiyo barabara hasa kutoka zambia na kwingineko?

Anonymous said...

Usafi ni muhimu sana!!

Anonymous said...

Hongera sana Mby, juzi juzi nimetoka Mby, barabara ya stend mpaka meta ikiwa hovyohovyo. leo hii mkeka mzuri kweli. Tunashukuru serikali yetu na tunashukuru halmashauri ya jiji la mbeya kwa maendeleo ya mji wetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Mbeya yetu.