tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post5892220229089643430..comments2023-12-20T06:03:43.723+03:00Comments on Mbeya Yetu: BARABARA KUTOKA KITUO KIKUU CHA MABASI JIJINI MBEYA HADI META SASA MAMBO SHWARITANZANIA TIMEhttp://www.blogger.com/profile/17646824371760322532noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-59236410829617360602013-11-18T23:41:20.739+03:002013-11-18T23:41:20.739+03:00Hongera sana Mby, juzi juzi nimetoka Mby, barabara...Hongera sana Mby, juzi juzi nimetoka Mby, barabara ya stend mpaka meta ikiwa hovyohovyo. leo hii mkeka mzuri kweli. Tunashukuru serikali yetu na tunashukuru halmashauri ya jiji la mbeya kwa maendeleo ya mji wetu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Mbeya yetu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-4694443516389070402013-11-18T12:38:51.595+03:002013-11-18T12:38:51.595+03:00Usafi ni muhimu sana!!Usafi ni muhimu sana!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-89500914068109490222013-11-17T22:09:20.285+03:002013-11-17T22:09:20.285+03:00Ongera Mbeya, lakini je itadumu misimu miwili ya m...Ongera Mbeya, lakini je itadumu misimu miwili ya mvua? Je magari mazito yanabanwa vipi ili yasitumie hiyo barabara hasa kutoka zambia na kwingineko?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-70930821099405661182013-11-16T22:44:18.453+03:002013-11-16T22:44:18.453+03:00Mbona mstari wa kati haupo, au ndiyo uwanja wa nde...Mbona mstari wa kati haupo, au ndiyo uwanja wa ndege huo? Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-351699724522291961.post-14327439726976392782013-11-16T20:49:08.342+03:002013-11-16T20:49:08.342+03:00ongera jiji la mbeyaongera jiji la mbeyaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/01716295860971455611noreply@blogger.com