Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 29, 2013

NEWS ALERT: PICHA GARI LILILOBEBA SHEHENA YA MBOLEA LAPATA AJALI ISYONJE TUKUYU MBEYA, WANANCHI WAONDOKA NA MIFUKO YOTE YA MBOLEA.

 Gari lenye namba T319BCU upande wa nyuma na Kichwa namba T885 CBS  aina ya Roli likiwa limepinduka
 Mbolea ikiwa imemwagika
 Gari lenye namba T319BCU upande wa nyuma na Kichwa namba T885 CBS  aina ya Roli upande wa mbele baada ya kupata ajali
 Wakazi Mbalimbali wakiwa wanashuhudia ajali hiyo
 Hii ndio Mbolea ambayo wananchi wameondoka  nayo yote

 Hili ni eneo Jirani na ajali ilipo tokea
Mabaki ya Mbolea hiyo.

Picha zote na Mbeya yetu

No comments: