Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 29, 2013

BREAKING NEWS! AJALI YATOKEA MLIMA WA MZALENDO IGAWILO JIJINI MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM.


 LORI BAADA YA KUDONDOKA
 HILI NDILO TERA LILILO DONDOKA
Lori likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali hiyo 
Majeruhi wakiwa wanakimbizwa hospitalini 
Hivi ndivyo lilivyo haribika upande wa mbele 
Huyu ni Dereva na Konda wake wakiwa wameumia na wanakimbizwa hospitalini 
Gari Likiwa limeanza safari kuwapeleka hospitali 
PICHA NA MBEYA YETU

No comments: