Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, October 21, 2013

GARI NDOGO ZAGONGANA USO KWA USO NA ZAIDI YA WATU WANNE 4 WAJERUHIWA IWAMBI JIJINI MBEYA

GARI AINA YA SUZUKI NA NISSAN ZIMEGONGANA USO KWA USO MAENEO YA IWAMBI JIJINI MBEYA MCHANA WA LEO KISA CHA AJALI HIYO MAPAKA SASA HAKIJAJULIKANA 
HAPA BAADHI YA WANANCHI WAKIJARIBU KUYANASUA MAGARI HAYO

No comments: