Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, October 21, 2013

HATARIIII RELI YA TAZARA YAZIDI KUHUJUMIWA NAWAUZA VYUMA CHAKAVU MKOANI MBEYA

WAKATI SERIKALI IKIWEKA MIKAKATI YA KUNUNUA VICHWA VYA TRENI  YA TAZARA HUKU WENGINE WANAFANYA KAZI YA KULIHUJUMU SHIRIKA HILO KWA KUFUNGUA NA KUIBA MATALUMA YA RELI HIYO KUPELEKA KUUZA KAMA VYUMA CHAKAVU


HII HATARI SANA HAPA TAYARI WAMEFUNGUA NATI ZOTE

WAHUSIKA MPOOOOO?


JAMAA WASHAMALIZA KABISA KUIBA VYUMA VYAKINGO ZA DARAJA LA TRENI MAENEO YA MBALIZI MBEYA
TRENI HIYOOOOO INAPITA  MLEMLE KULIKOFUNGULIWA BOLT  JE WAHUSIKA MNALIONA HILI?


Picha Na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu

No comments: