Kwa
siku tatu sasa kumekuwa na malumbano kwenye vyombo vya habari
kuhusiana
kauli zilizotamkwa na viongozi watatu wakiongozwa na
waziri
wa maendeleo ya jamii jinsia na watoto Bi.Sophia Simba
,mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya (CCM) Dkt.Mary Mwanjelwa
wakati
wa mkutano wa hadhara katika kata ya Maanga .
Mkutano
huo uliokuwa unasimamiwa na katibu wa wilaya wa CCM
Mwl.Raymond
Mwangwala ulikuwa na mkubwa uliokuwa na shamra shamra
kubwa
zilizotokana na wananchi wengi kuitikiwa na kufurahia
burudani
na jumbe mbali mbali zilizokuwa zinatolewa.
Katika
mkutano huo viongozi wengi walipata nafasi ya kutoa salamu
wakiwemo
viongozi hao ambao wamekuwa wakitajwa katika vyombo vya
habari
(magazeti) ambao ni waziri Simba na Mbunge Dkt.Mwanjelwa
wakionekana
wazi kuwa walimshambulia Mbunge Sugu kuwa ana mapepo
jambo
ambalo kwa hakika si la kweli kabisa “ baadaye habari
hizo
zimekanushwa
na katika moja ya Blog moja Mkoani Mbeya zikidai
kuwa
aliyemtaja mbunge huyo ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa
Charles
Mwakipesile .
Kwa
ajili ya maslahi ya watanzania na wafuatiliaji wa mambo ya
kisiasa
ukweli ni kuwa mbunge Joseph Mbilinyi hakushambuliwa
katika
mkutano huo wala kutajwa jina lake badara yake
viongozi
hao
wa CCM walichofanya ni kueleza mambo ya maendeleo
yaliyofanywa
na
chama hicho kwa ajili ya kujenga hoja kwa wananchi
wengi
waliokuwa
wanasikiliza .
Akitoa
salamu mjumbe wa Mkutano mkuu Taifa CCM Bw.Mwakipesile
ambaye
kitaaluma ni mwandishi wa habari alisema kuwa yeye kama mzee
wa
kukemea mapepo siku zote anacho amini ni kuwa wenye
mapepo kazi
yao
ni kufanya fujo wakati viongozi wa CCM wanajenga hoja
,”wakati
wao wanafanya fujo bungeni CCM tunajenga hoja,wakati wao
wanachoma
barabara sisi tunajenga barabara kila kona ,wakija kwenu
waulizeni
samaki walizo ahidi ziko wapi wajenge hoja waacha kutukana
,
akamalizia
kwa kuwataka wana Mbeya kuendelea kuwa na mshikamano
amani
na utulivu na kumwakikishia waziri Simba kuwa pamoja na
kuwapo
kwa mapepo kidogo Jiji liko safi”tupelekee salamu kwa
mwenyekiti
wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Kikwete kuwa Mbeya iko safi
CCM
inachapa kazi.Mwisho wa salamu.
Mbunge
wa Viti maalumu Mkoa wa Mbeya Dkt.Mwanjelwa ambaye pia ni
mjumbe
wa Halmashauri kuu CCM kupitia UWT,akitoa salamu alijikita
katika
kueleza mambo ya maendeleo ambayo wakati wote amekuwa
akifanya
awapo Mbeya na Bungeni Dodoma ambapo alisema kuwa
mradi
mkubwa
ambao amekuwa akiusimamia baada ya kuuliza swali ni ule wa
kuchepusha
barabara kutoka uyole kuibukia Songwe kwa lengo la
kuondoa
msongamano wa magari Jijini Mbeya barabara kuu iendayo
Zambia
.
Huku
akishangiliwa mbunge huyo alisema kuwa mbali na mpango huo pia
amekuwa
akizukuma maendeleo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya
kuhakikisha
makundi mbali mbali wakiwemo wanawake wanapata maisha
bora
ikiwa ni kutimiza sera ya CCM katika suala
zima la
kusimamia
utekelezaji wa ilani”akamaliza kwa kusema mambo
aliyofanya
ni mengi ila kwa kuwa muda hautoshi kwa siku hiyo hayo
machache
yanatosha.
Naye
mgeni rasmi katika mkutano huo Bi.Simba ambaye
kitaaluma ni
mwanasheria
akihutubia wananchi hao alionya tabia ya wazazi
kuwanyanyasa
watoto kwa kupuuza haki zao za msingi jambo ambalo
alilaani
vikali na kuwa serikali kamwe haifumbia mambo jambo hilo.
Pia
alizungumzia jinsi ambavyo serikali ya CCM inafanya kazi kubwa
katika
kuhakikisha wanawake na vijana wananufaika kwa mikopo
kutokana
na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ambayo
inatakiwa
kila mwaka itolewa kwa ajili ya kuwawezesha kupata maisha
bora.
“serikali
ya CCM ni sikivu na makini ndio maana mnaaona hata pale
bunge
sisi tulifanya kazi kubwa ya kujenga hoja kwa utulivu lakini
wenzetu
siku ni kwa sababu ya mapepo wao wakaamua
kupigana bila
ya
sababu jamani ilikuwa ni aibu kama mnavyofahamu pale
bungeni ni
mahari
patakatifu hivyo hata watu wanaoingia pale wanapaswa
kuwa
makini
tena siku ile yalilipolipuka mapepo wachungaji akina
Dkt.Lwakatare
hawakuwepo wangekemea ,lakini nasikitika Mbeya
nanyi
mlituletea pepo mnaona kilichofanyika .
Waziri
Simba alitoa hotuba yake mwanzo mwisho bila kumtaja
mtu
kwa
jina wala kumshambulia ,Dkt.Mwanjelwa alitoa salamu zake bila
kumtaja
mtu wala kumshambulia na kisha mjumbe wa Mkutano mkuu Taifa
CCM
Mwakipesile alitoa salamu kwa kutumia kauli mbiu yake
yam
zee
wa kukemea mapepo bila ya kumshambulia wala kumtaja mtu.
Mfumo
wa vyama vingi uulikubaliwa nchini kwa ajili ya kuchochea
maendeleo
na kutoa changamoto kwa chama tawala , wala si ugomvi
unaopelekea
viongozi wakiwemo wabunge kushindwa kuelewana kwa
kisingizio
cha utofauti wa itikadi, hii kwa hakika si lengo la
kuwapo
kwa mfumo huu wa vyama vingi ambao unalenga kuheshimiana na
kuacha
kudhalilishana ,WAJIBU WA KULINDA NA KUSIMAMIA MSHIKAMANO HUU
WA
VIONGOZI UKO MIKONONI KWA SEHEMU KUBWA KWA WANA HABARI ambao
wanasisitizwa
na sheria kufanya kazi ya kuwaunganisha viongozi na si
kuwagonganisha
(TO LINK LEADERSHIP TO THE PUBLIC) and also to Bind A
society
kwa msingi huu makosa yaliyojitokeza katika habari hii
yaliyolenga
kuwasambaratisha wabunge kwa kisingizio cha uchaguzi
2015
hayana msingi kwa sasa wana Mbeya wanachohitaji ni
maendeleo
kutoka
kwa viongozi hao kuwasemea kuwa wana ugomvi hiyo siyo
kweli
kwa kuwa:
Ukweli
ni kuwa kila mmoja miongoni mwao anafanya kazi kwa ajili ya
kuwahudumia
wana nchi akitekeleza ilani ya chama chake na hivyo
ukweli
ni kuwa katika Mkutano huo Viongozi hao wakuu wawili
kwa
maana
ya Waziri Simba na mbunge Mary Mwanjelwa hakuna
walipomtaja
Mbunge Mbilinyi kuwa ana Mapepo na wala Mjumbe wa
Mkutano mkuu
Taifa
CCM Bw.Mwakipesile hakuna alipomtaka Mbunge huyo
ana
Mapepo
kilichoandikwa ni upotoshwaji mkubwa usio na lengo bora na
siasa
za Mkoa wetu wa Mbeya .
Mwananchi Halisi.
|
3 comments:
WAO WANAOKUMBATIA MAFISAD NDO MAPEPO
WAO WANAOKUMBATIA MAFISAD NDO MAPEPO
Kumbe hakutajwa mtu?! Lkn Mh Simba kasema Mby walipeleka pepo, alimaanisha nn? Bila shaka hicho ndicho kilichotafsiriwa kumtaja Sugu. Nadhani chanzo cha tatizo ni aliyetoa hoja na si waliotafsiri.
Post a Comment