Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, October 29, 2013

LIVE : KIPINDI CHA KWANZA MECHI KATI YA TANZANIA PRISONS NA MBEYA CITY FC MAGOLI NI BILA BILA.

Kikosi cha Mbeya City Fc wakiwa wanasali kabla ya Mechi yao kuanza 
 Kikosi cha Tanzania Prisons wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza 

 Hili Ni Benchi la Timu ya Mbeya City Fc Likiongozwa na Kocha mkuu wa Timu hiyo


Benchi la Tanzania Prisons 

Waamuzi wakiwa wanaamua timu ipi iianze mlango gani 
 Mashibiki wakiwa wanaingia uwanjani 
 Mashabiki wakiwa wanangoja mpira kwa hamu 
 Mpira ukiwa umeanza huku kila timu ikiwa inapiga mpira vilivyo 

 
 Mashabiki wakiwa wanashangilia mechi 
 Wadau mbalimbali na mashabiki wakifuatilia mpira kwa umakini Waandishi wa Habari wakifuatilia Mechi.

Endelea Kufuatilia 
Picha zote na Mbeya yetu..

No comments: