Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, September 4, 2013

WALEMAVU WA MACHO WAUNDA KIKUNDI KUOMBA MSAADA KWA KUTUMIA NYIMBO ZA DINI MBEYA

KIKUNDI HICHO KIKITUMBUIZA KATIKA MOJA YA MITAA YA WEST JIJINI MBEYA HUKU WASAMARIA WEMA WAKIWATOLEA SADAKA


JAMAA MWENYE SHATI LA BLUU AKIWA AMEVUTIWA NA NYIMBO ZA WALEMAVU HAO WA MACHO AMETULIA KWA MAKINI KUWASIKILIZA

HAKIKA JAMAA AMEGUSWA AMEAMUA KUANGALIA MFUKONI MWAKE KAMA ANACHOCHOTE KITU CHA KUWAPA

JAMAA KUMBE ANA PESA KIASI 

JAMAA AMETOA SADAKA KWA WALEMAVU HAO WA MACHO BAADA YA KUGUSWA NA NYIMBO ZAO NZURI

KILA ALIYEPITA HAPO ALIVUTIWA NA NYIMBO NZURI WALIZOKUWA WANAIMBA WALEMAVU HAO WA MACHO NA KUWATOLEA SADAKA

BAADA YA KUPATA  MKATE WAO HAOOO WANAONDOKA KWENDA PUMZIKA


PICHA NA MBEYA YETU

No comments: