Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 21, 2013

PICHA I: LIVE KUTOKA UWANJA WA TAIFA MECHI KATI YA MBEYA CITY FC NA SIMBA Baadhi ya Mashabiki wa Mbeya City FC wakiwa wana moto wa kuja kutazama Mechi ya Mbeya City na Simba, Ambapo mashabiki hao wamefunga safari kutoka Mbeya kuja kushuhudia Mechi.

 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanavuka Barabara Kuelekea uwanjani
Ulinzi ukiwa umeimarishwa nje ya Uwanja wa Taifa
 Baadhi ya Mashabiki wakiwa wanajiandaa kuingia uwanjani kushuhudia Mechi kati ya Simba na Mbeya City 
 Mashabiki wakiwa wanaingia katika uwanja wa Taifa kushuhudia Mechi kati ya Simba na Mbeya City
 Hizi ni baadhi ya Tshirt ambazo zinauzwa za Timu ya Simba 
 Mmoja ya Mashabiki wakiwa ameshikilia Tiketi yake tayari kuingia uwanjani
 Baadhi ya Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa tayari kwa ajili ya Mechi hiyo
 Mashabiki wa Simba wakiwa Tayari kwa ajili ya Mechi hiyo
Hapa Ubao wa Kidijitali kwa ajili ya kuoneshea magoli bado haujawashwa ......


Endelea kufuatilia Hapa hapa Bila kutoka........ Tukio zima ni Live

No comments: