Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, September 21, 2013

LIVE 2: KIPINDI CHA KWANZA MECHI KATI YA MBEYA CITY FC NA SIMBA UWANJA WA TAIFA, SIMBA 2 MBEYA CITY FC 1

 Ikiwa kipindi cha kwanza kinakaribia kuanza sasa Mashabiki wa Mbeya City wakiwa wanashangilia kwa Nguvu zote
 Simba Bila Mbeya City Fc Bila
 Mashabiki wa Pande zote wakingoja mpira kwa hamu kubwa 
 Timu ya Simba na Mbeya City Fc wakiwa wanaingia uwanjani 
 Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanasalimiana na Wachezaji wa Simba kabla ya Mechi kuanza
 
Wachezaji wa Timu zote Mbili wakiomba Dua
 Mpira ukiwa umeanza kwa kasui 

 Hivi ndivyo Walivyo fanya mashambulizi ya kufunga goli la kwanza
 Baada ya Simba kufunga Goli
Mashabiki wa Simba wakishangilia goli la kwanza

 Mashabiki wa Simba wakishangilia Goli la Pili
 Mbeya City Fc wakishangilia Goli lao la kwanza
Wachezaji wakiwa wanatoka kwa ajili ya Mapumziko 
Mwandishi na msimamizi mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph mwaisango wa Kwanza Kushoto akichukua matukio kwa umakini


Endelea kufuatilia kipindi cha pili  Picha zote na Blogs za Mikoa 

MATUKIO HAYA YA LIVE YANAWAJIA KWA UDHAMINI MKUBWA WA SHIRIKA LA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA -PSPF

No comments: