Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, August 1, 2013

LIVE KUTOKA VIWANJA VYA NANE NANE MBEYA: MGENI RASMI DR . HARISON MWAKYEMBE AKITEMBELEA BANDA LA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA .

Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe akielekea kukagua mambanda Mbalimbali
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akisalimiana na  Ofisa wa BOT
Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi Dr. Mwakyembe  akipokea maelezo kutoka kwa Ofisa wa BOT Mbeya 
Banda la Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika
Hapa ni ndani ya Banda la Wizara ya kilimo Chakula na Ushirika

 Mgeni Rasmi bado akiendelea na kutembelea
Mgeni Rasmi Dr. Mwakyembe akiendelea kupata maelekezo katika banda hilo
 Baadhi ya Viongozi wa TASO wakitoa maelekezo.


PICHA ZOTE NA MBEYA YETU

ENDELEA KUFUATILIA

No comments: