Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, August 1, 2013

LIVE MUDA HUU! MGENI RASMI AWASILI WAZIRI WA UCHUKUZI DR. HARISON MWAKYEMBE AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MBEYA.


Wananchi mbalimbali wakiwa wanamngoja mgeni Rasmi kuwasili

Viongozi Mbalimbali wakijipanga tayari kwa kumpokea mgeni Rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr. Norman Sigalla akimpokea Mgeni Rasmi Dr. Harison Mwakyembe

Vijana wa Skauti wakimvalisha skafu mgeni Rasmi baada  ya kuwasili uwanjani
Mgeni Rasmi akipokea Heshima kutoka kwa skauti


Mgeni Rasmi akisalimiana na Viongozi Mbalimbali
Mgeni Rasmi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Nanenane Kanda ya Nyanda za Juu kusini Mbeya
Mgeni Rasmi akiingia uwanjani
Mgeni Rasmi akisaini kitabu cha wageni
Mwenyekiti wa TASO Noel Nkoswe  akisoma taarifa kwa Mgeni Rasmi 

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG 


ENDELEA KUFUATILIA

No comments: