Naibu Waziri wa katiba na Sheria,Mh, Angellah Kairuki akizindua
mfumo mpya wa usajili wa Vizazi na vifo kupitia mkakati wa usajili wa
watoto wa umri chini ya miaka 5 Mkoa wa Mbeya,
|
Baby TOT wakitumbuiza katika uzinduzi huo |
Wakuu wa wilaya wa mkoa wa Mbeya |
Makatibu tawala wa wilaya za Mbeya |
Wakina mama na watoto walishiriki katika uzinduzi huo |
Makirikiri ya Mbeya |
Watoto wakifurahia na kucheza nyimbo zilizokuwa zinaimbwa navikundi mbalimbali vya sanaa |
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angela Kairuki
ambaye alimwakilisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Mbeya katika uzinduzi huo
.
|
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Dkt.Norman Sigalla akimkaribisha mgeni rasmi aongee na wananchi wa mkoa wa Mbeya |
Afisa Mtendaji mkuu Rita Philip Saliboko risala Mbele ya mgeni rasmi |
Mweshimiwa mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akisalimia wananchi katika uzinduzi huo |
Mbunge wa Mbeya vijijini Mchungaji Lakson mwanjali akisalimia wananchi |
Mwakilish toka Canada |
Mwakilishi toka VSO |
Mwakilishi toka TigoWoinde Shisael
|
Baadhi ya akina mama na watoto wao wakiwa pamoja na mgeni rasmi |
Picha ya pamoja na maafisa wa RITA Picha na Mbeya yetu |
2 comments:
Picha ni nzuri na ni za kiwango kweli kweli. Hata hivyo nafikiri wasomaji hatujapewa vizuri habari yenyewe..Yaani huo 'mfumo mpya' au walau huo 'mkakati wa usajili wa watoto wa umri chini ya miaka 5'. Mkakati wenyewe ukoje?
Vinginevyo pongezi kwa jitihada za kuhabarisha.
Gwankaja.
I hope hizo pesa zitatumika ipasavyo kuboresha chumba cha kujifungulia watoto, inasikitisha.
Post a Comment