Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 21, 2013

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MALANGALI MDA MWINGI WAPO KUHANGAIKA TUTAFUTA MAJI KWA MATUMIZI YA WAALIMU WAO WILAYANI CHUNYA

Wanafunzi wa shule ya msingi Malangali kata ya totowe jimbo la songwe Chunya wakiwa na ndoo kwa ajili ya kuteka maji ya walimu wao muda wa masomo 





Hii hali ni hatari kwa watoto hao kwani kisima hiki ni kirefu kina zaidi ya futi 30 hebu angalia picha hii vizuri je kama mtoto huyu anakifafa inakuwaje kwakweli wahusika tunaomba angalau maji yafike shuleni hapo






Picha na E.Kamanga

No comments: