| MOJA YA WATOTO WA KIJIJI CHA WAMBISHE KATA YA ULENJE MBEYA VIJIJINI AKIWA AMEMBEBA MDOGO WAKE WAKIENDA KUCHUNGA KONDOO NA MBUZI MALISHONI |
| DOGO HUYOOO NA MDOGO WAKE MGONGONI PAMOJA NA MIFUGO YAO JE WAHUSIKA MPOOOO ? |
| MWINGINE NDIYO HUYO ANAJIANDAA KUTOKA NA MIFUGO YAO HUKU MZAZI AKIWA AMESHIKA MWAMVULI NAE AKIELEKEA SAFARI ZAKE BILA HATA YA KUJALI KUWA MTOTO ANATAKIWA KUWA SHULE MIDA HII |
| HAYA NDIYO MAMBO YA WATOTO WA UTENGULE MBEYA VIJIJINI MASOMO YAO MIFUGO TU |
| MTOTO HUYU ANACHUNGA MIFUGO KWA KUTUMIA MBWA WAKE |
| MWANAFUNZI MWINGINE HUYOOO NDIYO ANAELEKEA SHULE SASA KWAKWELI WATOTO WENGI WA KIJIJI HIKI CHA WAMBISHE WANAHITAJI MSAADA WA MAVAZI NA ELIMU PIA |
Picha na E.Kamanga |
No comments:
Post a Comment