CHUO KIKUU TEOFILO
KISANJI
“Mafunzo kwa maisha Bora”
KURUGENZI YA ELIMU ANUAI
TANGAZO KWA WAOMBAJI WAPYA NGAZI YA
STASHAHADA
(ORDINARY DIPLOMA) MWAKA WA MASOMO
2013/2014.
MAOMBI YANAKARIBISHWA KATIKA FANI
ZIFUATAZO:
Stashahada katika mafunzo ya Ualimu yaani (Ordinary Diploma Certificate in Education)
Stashahada katika mafunzo ya Fedha na Uhasibu yaani (Ordinary Diploma in Accounting and Finance)
Stashahada katika mafunzo ya Kazi na Maendeleo ya Jamii yaani (Ordinary Diploma in Social work and
Community Development)
Stashahada katika mafunzo ya TEKNOHAMA yaani (Ordinary Diploma in Information Technology)
Stashahada katika Mafunzo ya Sheria yaani (Ordinary Diploma in Law)
Stashahada katika Mafunzo ya Utawala na Biashara (Ordinary Diploma in Business Administration)
Stashahada katika mafunzo Manaejimenti ya Rasilimali Watu (Ordinary Diploma in Hunan Resources Management)
Stashahada katika mafunzo ya Menejimenti ya Utalii na
Huduma za Hotel (Ordinary Diploma in
Hospitality and Tourism)
Stashahada katika mafunzo ya Utawala wa Biashara (Communication)
in Business Administration )
Stashahada katika mafunzo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano
kwa Umma (Ordinary Diploma in Journalism
and
Mass Communication)
Stashahada katika Mafunzo ya Menejimenti ya Ununuzi na Takwimu (Ordinary Diploma in Procurement Logistic
and
Management)
Stashahada katika Mafunzo ya Ukutubi na Sayansi ya Habari ( Ordinary Diploma in Library and Information
Science)
Stashahada katika Mafunzo ya Theolojia ( Ordinary Diploma in Theology)
SIFA KWA WAOMBAJI
1. Mwombaji awe
amehitimu kidato cha sita na awe na ufaulu usiopungua
principal pass moja na subsidiary moja, au
2. Mwombaji awe
na cheti katika fani anayoomba
Mafunzo yote yataendeshwa kwa muda wa
miaka miwili isipokua mafunzo ya Theolojia ambayo yateendeshwa kwa miaka
mitatu
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/6/2013,
saa kumi jioni.
Fomu zinapatikana Chuoni, eneo la
Kitalu T, Soweto, Mbeya mjini. Vilevile mwombaji anaweza kuzipata kutoka
katika
tovuti ya chuo, Tovuti:
www.teku.ac.tz
Anuani:
Chuo Kikuu Teofilo Kisanji
S.L.P 1104
Mbeya – TANZANIA
“KARIBU CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI
KWA MAFUNZO YENYE UBORA”
CHUO KIKUU TEOFILO
KISANJI
“Mafunzo kwa maisha Bora”
KURUGENZI YA ELIMU ANUAI
TANGAZO KWA WAOMBAJI WAPYA NGAZI YA
CHETI
(BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE) MWAKA
WA MASOMO 2013/2014.
MAOMBI YANAKARIBISHWA KATIKA FANI
ZIFUATAZO:
Cheti katika mafunzo ya Ualimu yaani (Basic Technician Certificate in Education)
Cheti katika mafunzo ya Fedha na Uhasibu yaani (Basic Technician Certificate in Accounting and Finance)
Cheti katika amafunzo ya Kazi na Maendeleo ya Jamii yaani (Basic Technician Certificate in Social work and
Community
Development)
Cheti katika mafunzo ya Tekinologia TEKNOHAMA (Basic Technician Certificate in Information Technology)
Cheti katika Mafunzo ya Sheria yaani (Basic Technician Certificate in Law)
Cheti katika mafunzo Manaejimenti ya rasilimali Watu (Basic Technician Certificate in Hunan Resources Management)
Cheti katika mafunzo ya Menejimenti ya Utalii na
Huduma za Hotel (Basic Technician Certificate in
Hospitality and Tourism)
Cheti katika mafunzo ya Utawala wa Biashara (Basic Technician Certificate in Business Administration)
Cheti katika mafunzo ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa
Umma (Basic Technician Certificate in Journalism and
Mass Communication)
Cheti katika Mafunzo ya Menejimenti ya Ununuzi na Takwimu (Basic Technician Certificate in Procurement Logistic
and Management)
Stashahada katika Mafunzo ya Ukutubi na Sayansi ya Habari ( Basic Technician Certificate in Library and Information
Science)
Cheti katika Mafunzo ya Theolojia ( Basic Technician Certificate in Theology)
SIFA KWA WAOMBAJI WA NGAZI YA CHETI
Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne na awe na ufaulu wa
daraja la nne lenye alama D (NNE) katika fani zote isipokuwa
fani ya Ualimu ambayo mwombaji awe na daraja la nne lenye Alana 27 katika
mtihani wa kidato cha nne.
Mafunzo yote yataendeshwa kwa muda wa mwaka mmoja isipokuwa
mafunzo ya Ualimu yatakayoendeshwa kwa muda wa miaka miwili (2)
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/6/2013,
saa kumi jioni.
Fomu zinapatikana Chuoni, eneo la
Kitalu T, Soweto, Mbeya mjini. Vilevile mwombaji anaweza kuzipata kutoka
katika
tovuti ya chuo, Tovuti:
www.teku.ac.tz
Anuani:
Chuo Kikuu Teofilo Kisanji
S.L.P 1104
Mbeya – TANZANIA
“KARIBU CHUO KIKUU TEOFILO KISANJI
KWA MAFUNZO YENYE UBORA”
|
No comments:
Post a Comment