Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, January 5, 2013

LIVEE ASUBUHI HII MAENEO YA SOWETO MBEYA

WANAUSALAMA MPOOO ONENI KITUKO HICHO MAPEMA ASUBUHI HII KWELI AJALI ZITAPUNGUA KWA MTINDO HUU?

HII NDIYO HALI HALISI WENYE BAJAJI WALA HAWANA WASI WANAKATIZA KILA MTAA MAENEO YA SOWETO MBEYA YETU ILIPOWAULIZA WAKADAI IPO KWENYE MATENGENEZO

JAMAA HUYO ANATIMKA ZAKE ANAINGIA TENA BARABARANI

Picha na Mbeya yetu

4 comments:

Unknown said...

Ni kweli bana mpaka linaitwa jiji la kijani wafanya mchezo

Unknown said...

Ni kweli bana mpaka linaitwa jiji la kijani wafanya mchezo

goodluck mhando said...

chezea mbeya wee

Unknown said...

leseni aliipataje?