Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, January 5, 2013

KANDORO AWAASA WAKAZI WA MBEYA PUNGUZENI KUCHANGIA SHERHE KILA SIKU KUKICHA CHANGIENI ELIMU KWANI NI MTAJI KWA WATOTO WETU

Mkuu wa mkoa Mbeya Abas Kandoro amesema nawaomba wakazi wenzangu wa Mbeya  tunahitaji kubadilika ili mitizamo yetu isilenge zaidi katika uchangiaji wa harusi, zinazogharimu mamilioni ya pesa kwa muda mfupi tunahitaji kuchangia zaidi katika elimu kwani kuna vijana wetu hawana hata madawati ya kukalia, yatima, wajane na wengine wengi wenye mahitaji badala ya kuchangia harusi.


Ameyasema hayo alipokuwa anaongea na wandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya mwishoni mwa wiki hii

picha na Mbeya yetu

2 comments:

Nzoshe, B said...

Ni kwanini uchangie sherehe? Mwenyenayo akishindwa kuifanikisha maana yake hayuko tayari, msubirini siku nyingine.

mpaju blog said...

Nakubalian sana na mheshimiwa,labda tu kuongezea, kinachohitajika sana si kwa wana Mbeya tu, bali kwa Watanzania ni Uboresho wa Fikra zetu,maana ndio kikwazo mama cha maendeleo yetu