| Mkuu wa mkoa Mbeya Abass Kandoro akikata utepe kuzindua chanjo ya mpya ya Rotavitus na Nimonia katika kituo cha afya Ruannda jijini Mbeya |
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akimwekeamatone moja ya watoto waliyofika katika uzinduzi huo |
| Mkuu wa mkoa Mbeya akihutubia wananchi waliyofika katika uzinduzi wa chanjo hiyo |
| Mratibu wa chanjo mkoa wa Mbeya Japhet Mihanye akisoma risala kwa mgeni rasmi |
| Mstahiki meya wa jiji la Mbeya Atanath Kapunga akimshukuru mgeni rasmi kwa uzinduzi wa chanjo hiyo |
| Baadhi ya wakina mama waliyobahatika kupata chanjo katika uzinduzi leo |
No comments:
Post a Comment