| Baadhi ya wamilikiwa maduka hayo wakilia kwa uchungu baada ya kuona baadhi ya mali zao zilivyoteketea kwa moto |
| Baadhi ya wafanyabiashara wa eneo hilo la mwanjelwa wakimfariji mwenzao ambae duka lake limeungua |
| Hili ndilo eneo la maduka ya wafanya biashara wa nguo mwanjelwa yalionusurika kuwaka moto jana usiku |
picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment