MHESHIMIWA HAWA
ABDUL
RAHMANI GHASIA
(MB), WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI
MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA AMESEMA KATIKA ZIARA YAKE HAPA MKOANI MBEYA AMEGUNDUA KERO KUBWA KWA WATUMISHI HAO NI MAAFISA UTUMISHI WAO KUTO WATENDEA HAKI WALA KUWASIKILIZA SHIDA ZAO KWANI WAMEKUWA NI MIUNGU MTU AMEWATAKA MAAFISA UTUMISHA HAO KUFANYA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA NA HATA SIKA KUMFUKUZA KAZI AFISA UTUMISHI YEYOTE ATAKAE ZEMBEA KATIKA KAZI ZAKE
|
No comments:
Post a Comment