HII NI MIGOMBA AMBAYO NDIZI ZAKE ZIMECHUMBIWA NA WALANGUZI KWA SHILINGI 1000/ WILAYANI RUNGWE KWAKWELI MKULIMA ANAIBIWA |
AKINA MAMA WA KIWIRA WILAYANI RUNGWE WAKIUZA MIKUNGU YA NDIZI KATI YA SHILINGI 1000 MPAKA 1500 KWA MKUNGU MMOJA NA WALANGUZI WANANUNUA HAPO NA KUSAFIRISHA KUPELEA DSM |
BIBI HUYU ANAUZA HUO MKUNGU WA NDIZI KWA SHILINGI 800 ILI APATE HELA YA SABUNI NA CHUMVI |
HII MIKUNGU YA NDIZI TAYARI IMENUNULIWA NA WALANGUZI KWA KILA MKUNGU KWA SHILINGI 1000 MPAKA 1500 HAPO ZINASUBIRI KUSAFIRISHWA KWENDA DSM |
HUYU BWANA YEYE NDIYE MWENYE BEI KUBWA KWANI MKUNGU WA NDIZI ANAUZA SHILINGI, 2500 HAKIKA SERIKALI INATAKIWA KUWASAIDIA WAKULIMA HAWA |
HAPA NI KIWIRA KWENYE GULIO LA IJUMAA NDIPO WAKULIMA WANAPOLETA MAZAO YAO HAPA NA KUNUNULIWA NA WALANGUZI TOKA DSM |
NDIZI HIZOOOO MKUNGU MMOJA KWA SHILINGI 1000 NA UNAENDA KUUZWA DSM KWA SHILINGI 15,000 DU HII KALI |
HAKIKA KWELI CHOMBO CHA MWALIMU FAIDA TUPU MUKULIMA ANAAMBULIA PATUPU |
HAPA MPAKA SHILINGI 500 UNAPATA MKUNGU WA NDIZI |
2 comments:
Jamani kweli serikali iwatazame hao wakulima imagine wanauza mkungu mmoja elfu wakati huku Dar tunakuja uziwa ndizi tatu elfu moja, loh
dah hyo sio fear kwa kweli serikali ijitahdi ktuwatafutia soko
Post a Comment