| MGENI RASMI MKUU WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMANDA DIWANI AKIFUNGUA BONANZA HILO |
| TIMU MBALI MBALI ZA SERIKALI ZILISHIRIKI BONANZA HILI HAPA WAKIMSIKILIZA MGENI RASMI |
| MGENI RASMI AKISALIMIANA NA TIMU YA DAMU SALAMA |
| HAPA AKISALIMIANA NA TIMU YA OFISI YA MKUU WA MKOA MBEYA |
| TIMU YA OFISI YA MKUU WA MKOA MBEYA |
| TIMU YA DAMU SALAMA MBEYA |
| MASHINDANO YA KUKUNA NAZI KWA WANAUME YALIKUWEPO |
| MASHINDANO YA KUNYWA SODA KWA CHAPATI |
| KAMANDA DIWANI AKIFURAHIA MICHEZO MBALI MBALI KATIKA BONANZA HILO |
| DUU HII KALI MZEE ANAONYESHA UMAHILI WAKE WA KUCHEZA SEBENE |
| WATOTO NAO WALIKUWEPO HAPA NI KIDUKU TU |
| JAMAA BAADA YA KUSHINDWA KATIKA SHINDANO LA KUKUNA NAZI AKAAMUA BORA ALE MACHICHA YA NAZI HII KALI |
| MASINDANO YA KUVUTA KAMBA KWA WANAWAKE |
| MASHINDANO YA KUVUTA KAMBA KWA WANAUME |
| KIDUKU KWA WATOTO KINAENDELEA |
| MPIRA WA MIGUU |
| NYAMA CHOMA ILIKUWEPO UWANJANI HAPO |
| MASHINDANO YA KUKIMBIA NA GUNIA |
| TBL NAO WALIKUWEPO UWANJANI HAPO |
| WATOTO NAO WAKIVUTANA KWA KAMBA |
| MGENI RASMI TOKA OFISI YA MKUU WA MKOA MBEYA COSTANTINE MUSHI AKIFUNGA BONANZA HILO |
| PICHA NA MBEYA YETU |
1 comment:
Kweli nimeamini watu hawako serious, huyo jamaa anawezaje kuwa mwenyekiti wa michezo tena wa Hospitali ya Rufaa!! kweli haya ni maajabu,lakini inawezekana ni m/kiti wa michezo ya kula, kwa hilo sitopinga!
Post a Comment