Bwana Festo Ngonela ni mtumishi wa CRDB BANK na Bi Elizabeth Malimbwi yeye ni mwalimu Mbalizi wakiwa mwili mmoja sasa mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la mtakatibu Anthon wa paua jijini mbeya |
Bi harusi akimvisha pete mumewe kuwa mili mmoja |
Bwana Festo na Bi Elizabeth wakiwa na nyuso za furaha katika ukumbi wa Rehema jijini Mbeya |
Wakiwa na wapambe wao ukumbini hapo |
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na kamati nzito ya harusi yao |
Hakika wamependeza maharusi wetu |
No comments:
Post a Comment