| Jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Mbeya-Chunya-Makolongosi lililowekwa mwaka 2008 na Rais Jakaya Kikwete limeng’olewa. huku pamebaki alama ya X |
| Wakazi wengi wa mbeya wameshindwa kuelewa kuwa jiwe wameweka serikali na ndiyo hao hao wanaweka x inamaan hapo hapastahili kuka jiwe hilo? au ndiyo baraba hiyo ya chunya haijengwi tena ? |
| Barabara hii mpaka sasa inazidi kuharibika |
| Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment