Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, December 19, 2012

MAKABURI YA ZAIDI YA MAHABUSU 16 WALIOKUFA KWA KUKOSA HEWA MBARALI 2002 YATELEKEZWA NA KUGEUZWA DAMPO LA TAKA TAKA ISANGA MBEYA

Hii ndiyo hali halisi ya makaburi walimozikwa mahabusu zaidi ya 16 waliokufa kwa kukosa hewa Mbarali mwaka 2002 na kuzikwa Mbeya katika makaburi ya isanga
Makaburi yayo sasa yamegeuzwa kuwa dampo la takataka huku wahusika wakiangalia bila ya kuchukua hatua yeyote
Kwa ujumla haya ndiyo makaburi ya mahabusu zaidi ya 16 kwa sasa wala hayaonekani kabisa
Hili ni eneo la makaburi ya isanga na ndipo yapo makaburi ya mahabusu waliozikwa hapo mwaka 2002

Picha na Mbeya yetu

No comments: