MAREHEMU JOSEPH MWASOKWA AMEUWAWA JANA USIKU MAJIRA YA SAA MBILI NA NUSU USIKU NJE YA NYUMBA YAKE |
HAPA NDIPO WALIPOMUULIA MZEE MWASOKWA NJE YA NYUMBA YAKE JANA USIKU |
MPOKI MTOTO WA MAREHEMU YEYE NDIO ALIKUWA WA KWANZA KUUONA MWILI WA BABA YAKE HAPO NJE ASUBUHI YA LEO |
MAREHEMU MZEE JOSEPH MWASOKWA ALIKUWA MWANACHAMA WA YANGA PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment