| TIMU YA TIA MBEYA |
| TIMU YA WAANDISHI WA HABARI MBEYA |
| TIMU YA TBL MBEYA |
| TIMU YA NBC MBEYA KWA UJUMLA TIMU NYINGI SANA ZIMESHIRIKI BONANZA HILI |
| MECHI KATI YA TIMU YA TBL NA TIMU YA WAANDISHI WA HABARI MBEYA |
| GOOOOOOOOOO |
| NETBOLL PIA WALIKUWEPO TIMU MBALI MBALI ZILISHIRIKI MCHEZO HUO |
| MCHEZO WA KUVUTA KAMBA ULIKUWEPO |
| NI FURAHA TU UWANJANI HAPO |
| MINDU GODPHREY TOKA TBL AKIPANGA VIKOMBE VITAKAVYOTOLEWA KWA WASHINDI WA MICHEZO MBALIMBALI |
| WATOTO NAO NI FURAHA TUPU |
| MCHEZO WA KUKIMBIA NA GUNIA ULIKUWEPO |
| WATAALAMU WA USHAURI NASAHA NAO WALIKUWEPO UWANJANI HAPO KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI |
| NI RAHA TUPU |
| MPIGA PICHA WETU ANAENDELEA NA KAZI TUTAENDELEA KUWALETEA MATUKIO PICHA NA MBEYA YETU |
No comments:
Post a Comment