| Hii ndiyo hali halisi ya bucha katika mnada wa Mbuyuni Chunya wahusika wanaona na wala hawachukui hatua yeyote ile kana kwamba hakuna serikali huko |
| Hapa nyama tayari ipo buchani kilo sh 2000 mambo yanaendele mnada wa Mbuyuni chunya |
| Kazi ni kazi nae mnoa visu anaendelea na kazi yake katika mnada huo |
| Du picha inajieleza yenyewe mambo ya mnadani hayo |
| Hili ndilo eneo la kupata chakula cha aina mbalimbali katika mnada huo wa Mbuyuni Chunya |
No comments:
Post a Comment