Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, July 15, 2012

Ajali Mbaya imetokea Mbeya mmoja afariki Hapo hapo na Majeruhi 7

Lori lakubeba kifusi cha mawe aina ya Skania Namba T 525ACP  Mali ya Bhanji , lililo katika breki na kushindwa kusimama katika Mteremko wa Nzovwe na kuenda kugonga Gari aina ya Prado ambapo Dereva wa Gari hilo dogo alifariki hapo hapo.
 Gari aina ya Prado lenye namba za usajili T720BUV iliyo kuwa inaendeshwa na mama Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo.
 Muuguzi katika Hospitali ya Rufaa Usebia Ulalo akiwasomea majina waandishi wa habari, ya majeruhi 

 Msongamano wa magari kutokana na ajali hiyo 
Dereva wa Lori hilo Daudi akiwa amelazwa katika hospitali hiyo ya Rufaa Mbeya


1 comment:

Anonymous said...

Mimi ambacho sielewi lori ambalo hata halina bureki ,breki tu halina breki..... linaruhusiwaje kutembea barabarani?swali kwa polisi wa usalama barabarani....Swali la pili inakuwaje dereva ambaye anaakili timamu anakubali na anaendesha gari ambalo halina breki....yaani hata mwendeshaji wa baiskeli hawezi shuka mlima mbalizi bila kuwa na breki....sasa inakuwaje mtu anajiamini kushuka na lori lililojaa mawe bila breki kweli huyu dereva anaakili timamu lakini?au ni maamuma?Mwisho tuamke tupinge huu ujinga ni vifo visivyokuwa na sababu kabisa kabisa