Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 5, 2012

UPDATES: Tukio kamili la ajali iliyo tokea eneo la Ntangano Ijombe Mbeya , kuanzia Ajali ilivyo tokea, uokoaji hadi Maiti na Majeruhi kufikishwa Hospitalini.

 Watu Mbali mbali wakisaidia shughuri za uokoaji katika eneo hilo 
 Umati Mkubwa wa watu uliofika Eneo la Ajali kushuhudia pamoja na kusaidia kazi ya uokoaji 
Baadhi ya watu wakiwa wameitanda Coaster hiyo kwa ajili ya kusaidia uokoaji 

 Baadhi ya ya maiti kama zinavyo onekana zikiwa chini wakati wanangojea shughuri nzima ya uokoaji 
 Gari Kubwa la Mizigo ambalo nalo Lilipinduka Mara baada ya ajali kutokea 
 Watu walio Fika katika hospitali ya Rufaa kutazama miili ya Marehemu
 Miili ya Marehemu ikiwa tayari imewasili katika Hospitali ya Rufaa Mbeya
 Polisi na watu mbali mbali pamoja na wauguzi wakiwa wamefika kusaidia kazi ya kushusha maiti hizo 
 Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza pamoja na Kupeleka Marehemu katika chumba cha Kuhifadhia Maiti.
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog wa kwanza kushoto aliye valia shati Jeupe Joseph Mwaisango akiwa anatoka eneo la Tukio mara baada ya kumaliza kazi yake

Tukio zima Limefuatiliwa kwa ukaribu na Joseph Mwaisango ambae alipiga picha zote na Kurushwa moja kwa moja  Hewani ya Fredy Tony Njeje wote wa Tone Media Live Group, Ambao ni wamiliki wa mtandao huu. 

No comments: