Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 6, 2012

Taa za usiku zilizo weka mtaa wa West Jijini Mbeya hazifanyi kazi kwa muda wa mwezi sasa, Ziliwaka mara moja tu.


Wahusika Kama wameliona Swala hili wanaombwa walitazame kwa ukaribu ili Mtaa uwe na Mwanga wakati wa usiku

No comments: