Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 15, 2012

Sherehe za Siku ya Mtoto wa Africa zafana zaidi Mkoani Mbeya leo.


 Watoto wa Angrikana wakiwa wanaimba
 Bendi ya Ma Albino wakiwa wanatumbuiza
 Kwaya zote zikiwa zinaimba pamoja 
 Mgeni Rasmi akikagua Baadhi ya kazi ambazo zimefanywa na watoto walemavu
 Mtoto mdogo mwenye Ulemavu wa mikono akiwa anaonesha kipaji chake cha kuchora 
 Afisa Maendeleo wa Jamii Bi Roda Angetile akisoma Risala kwa mgeni rasmi
Moja ya sehemu ambazo watu walikuwa wamekaa
 Maonesho yanaendelea 

 Askofu wa kanisa la Angrikana John Mwela akiongea na watoto walemavu wakati wa kukamilisha sherehe hizo 
 Watoto wakipata soda huku wakisikiliza nini kinaongelewa 

 Ujumbe 

 Wageni pamoja na watoto wakiwa katika sherehe hizo
Sherehe ndio zimekwisha Mgeni Rasmi akiwa anaondoka katika eneo la maadhimisho ya mtoto wa Africa Mkoani Mbeya.

***********
Hapa Ndipo tumefkia Mwisho.. Tukio zima limeletwa kwenu na Tone media Live Group ambao pia wamiliki wa Blog hii chini ya Tone Multimedia Company Limited .. Picha zimepigwa na Joseph Mwaisango na Kurushwa moja kwa moja kutoka eneo la Tukio na Fredy Tony Njeje. 

No comments: