Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 15, 2012

Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Africa yanaendelea Jijini Mbeya hivi sasa

 Wadau mbali mbali waliofika kuadhimisha siku ya mtoto wa Africa wakiwa wanapita na mabango

 Wanafunzi wakiwa wanapita na Mabango hayo 
 Mkurugenzi wa Child Support Tanzania Noela Msuya akimkaribisha mgeni Rasmi kupokea maandamano ya watoto walemavu.
 Askofu wa Jimbo la Mbeya kanisa la Angrikana John Mwela akipokea maandamano 


 Baadhi ya watoto wenye ulemavu wakiwa wamefika katika sherehe za mtoto wa Africa 
 Wanafunzi kibao wamehudhuria 
 Wadau mbali mbali 

 Bwana mdogo akiwa nae anasherekea 
Picha ya pamoja 
Picha zote na Mbeya yetu blog

No comments: