Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, June 16, 2012

Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yafana leo ukumbi wa Mkapa


 Watoto pamoja na wageni waalikwa walio fika katika Sherehe hizo
 Afisa wa maendeleao ya jamii Alice Sinienga kitengo cha watoto, Akieleza umuhimu wa watoto pia kumkaribisha Mgeni rasmi 

 Mgeni Rasmi Ndg. Victor Kabuje aliye muwakirisha Mkurugenzi wa Jiji akitoa hutoba wakati wa sherehe hizo. Watoto wakiwa makini kuandika anacho ongea mgeni Rasmi 


 Watu mbali mbali waliofika katika sherehe hizo 
 Watoto wakipata Chakula wakati wa sherehe hizo 
 Wageni waalikwa nao wakipata chakula 
 Watoto wakiendelea kupata Chakula 
 Mtoto mwenye ulemavu wa mikono akiwa anakunywa maji yeye mweyewe na chakula anakula bila kulishwa 
Hapa ndio Mwisho wa Sherehe hizi kutoka Jijini Mbeya 

Picha zote zimepigwa na Mbeya yetu

No comments: