Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 21, 2012

MAAFISA 56 WA JESHI LA MAGEREZA WAVISHWA NISHANI YA MWENGE


KAMISHINA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AUGUSTINO NAYARO AMEWAVALISHA NISHANI YA MWENGE MAAFISA 56 WA JESHI HILO KUTOKA MKOA YA MBEYA, IRINGA, RUKWA, NA RUVUMA.

NISHANI HIZO ZIMETOLEWA KWA ASKARI WALIOLITUMIKIA JESHI ZAIDI YA MIAKA  30 MFULULIZO
SHEREHE HIZO ZIMEFANYIKA KATIKA CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA MBEYA

No comments: