Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 1, 2012

KATI KATI YA JIJI HAKUNA CHOO: JENGO HILI LIPO KATI KATI YA JIJI LINATUMIKA KAMA SEHEMU YA KUJISAIDIA KWA WAFANYA BIASHARA WADODO WADOGO WAHUSIKA WAFUMBIA MACHO.

 MILANGO HIYO HAPO MBELE NDIYO INATUMIKA KAMA SEHEMU YA WATU HAO KUJISAIDIA
 HIVI NDIVYO JENGO HILI LINAVYO ONEKANA 
*******
JENGO AMBALO MPAKA SASA MMILIKI WAKE HAJAFAHAMIKA NI NANI LIMEGEUKA KUWA CHOO KWA WAFANYA BIASHARA WADOGO WADOGO KATI KATI YA JIJI LA MBEYA, HALI ILIYO SABABISHA KUWA NA HARUFU MBAYA NA AMBAYO INAWEZA KUSABABISHA MAGONJWA YA MILIPUKO KWA WAKAZI WENGINE WA MJI HUO.

KWA HATARI HIYO TULIKUWA TUNAWAOMBA WAHUSIKA WA JIJI KUFIKA ENEO HILO NA KUCHUKUA HATUA HATA KWA KUWEKA UZIO ILI WATU WASIENDELEE TENA KUJISAIDIA HAPO

PIA TUNAWAOMBA JIJI WAWASAIDIE RAIA NA WAFANYABIASHARA WA MBEYA MJINI KWA KUWATENGENEZEA CHOO CHAO KWA SABABU BAADA YA SOKO KUU KUUNGUWA HAKUNA CHOO TENA, NDIO MAANA WANANCHI PIA WAMEAMUA KUFANYA ENEO HILO KAMA CHOO


No comments: