Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 1, 2012

KIBAKA APOKEA KICHAPO ASUBUHI HII BAADA YA KUSHINDWA KUFANYA ZOEZI LA KUIBA JIJINI MBEYA ENEO LA UHINDINI.

 KIBAKA AKIWA ANAJIKIMU BAADA YA KUPOKEA KICHAPO KIKALI 

 MMOJA YA MWANANCHI AKIWA ANAMFUNGA KIBAKA HUYO 
 BAADHI YA WANANCHI WALIO FIKA KUSHUHUDIA TUKIO HILO MAPEMA LEO 
 BAADA YA KICHAPO KIKALI SANA KIBAKA ALIJIFANYA AMEZIMIA ILI WASIENDELEE KUMPIGA TENA 
 DOGO KIBAKA SASA AMEWEKWA NGUVUNI NA POLISI ALIYE FIKA ENEO HILO 
SASA ANAPANDISHWA KWENYE GARI NA KUPELEKWA POLISI 

******
ANGALIZO KWA WAKAZI WA JIJINI MBEYA HASA WAFANYA BIASHARA MADUKANI KUMEZUKA NA TABIA YA WATU KUWA MAKUNDI KAMA WANNE WANAINGIA DUKANAI KAMA WANATAKA NUNUA KITU WENGINE WAKIWA WANAKUPUMBAZA KWA STORI ZA KUULIZIA BIDHAA VIJANA WENGINE WANAKUWA WANAFANYA WIZI MUDA HUO HUO.
KUWENI MACHO.

No comments: