Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 5, 2012

Ajali Mbaya ya Toyota Coaster na Gari la mizigo leo Mbeya watu 13 wamefariki Dunia na Majeruhi 19. Dereva afariki hapo hapo.

 Basi aina ya Coaster lililo kuwa linatokea Mbeya kuelekea Kyela Muda mfupi baada ya Ajali kutokea
 Gari la Mizigo ambalo limehusika na ajali hiyo likiwa pembeni muda mchache baada ya ajali hiyo kutokea
 Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa katika eneo hilo la Hospitali ya Rufaa Jijini Mbeya muda mchache uliopita
 Mmoja wa majeruhi ambae baada ya kupata matibabu
 Mmoja ya mdada ambae ameumia Vibaya akipata matibabu  katika hospitali ya Rufaa muda mchache uliopita
 Baadhi ya Ndugu jamaa na marafiki waliofika eneo nyumba ya Kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa kuwatambua ndugu zao muda mchache ulio pita
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya 2 comments:

Anonymous said...

Madereva wetu nao hawako makini sana wakiwa barabarani, kiasi tu cha kuelewa kuwa amebeba roho za watu na hivyo ajali inayotokea kwa uzembe wake inakuwa ina-cost maisha ya watu!

Anonymous said...

Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi amen.