Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 5, 2012

JUMLA YA ASKARI 746 WA JESHI LA MAGEREZA WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI DARAJA LA KWANZA KIWIRA MBEYA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania Augustino Nanyaro akiangalia gwalide la wahitimu hao wa mafunzo ya uongozi
Kikosi cha Bendera kikipita mbele ya Kamishna wa magereza
Wakipita kwa ukakamafu mbele ya kamishana wa magereza
Kikosi cha kareti kikionyesha umahili wake mbele ya kamishna wa magereza
Kamishna akikagua gwaride la wahitimu wa kozi ya uongozi
Wahitimu wa kozi ya uongozi wakimunyesha kamishna wao juu ya kucheza ngoma ya muganda


Asksri 746 wa Jeshi la Magereza nchini wamehitimu mafunzo ya uongozi daraja la kwanza (NCO`S) kozi namba 19 katika chuo cha Kiwira- Rungwe mkoani Mbeya
ambapo kamishna Jenerali wa jeshi la magereza Tanzania Augustino Nanyaro aliwatunuku vyeo koplo na baadhi yao vyeo vya sajenti

No comments: