Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 11, 2012

WAZIRI MKUU MUHESHIMIWA MIZENGO PINDA AMALIZA SALAMA ZIARA YAKE MKOANI MBEYA AAGWA RASMI

 Muheshimiwa  Waziri Mkuu akiwa anaagana na viongozi mbali mbali leo baada ya kumaliza Ziara ya kuwasha Mwenge Jijini Mbeya 
 Muheshimiwa Waziri Mkuu akiagana na Viongozi mbali mbali 
 Mkuu wa Mkoa akiwa pamoja na  Mstahiki Meya wa Jiji
 Viongozi Mbali mbali wakitazama Waziri Mkuu  akiwa anaondoka 
 Ndege ya Waziri Mkuu hiyo inaishia sasa 
Kwa Mbali Ndege ya waziri mkuu ikionekana imepaa zaidi 

Mwisho wa Matukio

No comments: