Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 11, 2012

LIVEE!! MWENGE WA UHURU WAWASHWA WAKABIDHIWA WAANZA KUKIMBIZWA KATIKA WILAYA MBALI MBALI NA VITONGOJI VYAKE

MUDA MFUPI BAADA YA MWENGE WA UHURU KUWASHWA JIJINI MBEYA NA WAZIRI MKUU.
 MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU MAPEMA SASA


 MWENGE WA UHURU UKIKABIDHIWA RASMI KWA AJILI YA KUANZA KUKIMBIZWA WILAYANI NA VITONGOJI VYAKE 
MAKABIDHIANO YANAENDELEA 
WAKIKIMBIZA MWENGE KUELEKEA KWENYE GARI MAALUMU 
UKIPANDISHWA KATIKA GARI SASA 

MAKAMANDA WAKIWA TAYALI KWA AJILI YA KUKIMBIZA MWENGE WA UHURU 
MAMIA YA WATU KILA MMOJA ANATAKA KUONA MWENGE WA UHURU 
BAADHI YA VIONGOZI WAKIWA WANAANGA MWENGE MUDA MCHACHE ULIOPITA 

 WAZIRI MKUU AMEMALIZA SHUGHULI NA SASA ANAONDOKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA 

WANAJESHI WAKISHUHUDIA MWENGE UNAPO ONDOKA MUDA HUU 
 MWENGE WA UHURU UKIWA UNAONDOKA ENEO LA UWANJA WA SOKOINE MUDA HUU 

 BAAADHI YA WATU WAKIWA WANAONDOKA ENEO LA TUKIO MUDA HUU 
 ***********************************
SHEREHE ZA KUWASHA WENGE JIJINI MBEYA ZIMEISHIA HAPA AMBAPO WAZIRI MKUU MUHESHIMIWA MIZENGO PINDA NDIYE ALIYE KUWA MGENI RASMI KATIKA SHUGHULI HIZO. 
MWENGE WA UHURU UMESHA ANZA KUKIMBIZWA RASMI NCHI NZIMA UKITOKEA UWANJA WA SOKOINE MBEYA 

TUKIO ZIMA LIMELETWA KWENU NA TONE MEDIA LIVE GROUP. MPIGA PICHA MKUU NDUGU JOSEPH MWAISANGO NA TUKIO LIMERUSHWA LIVE MOJA KWA MOJA NA FREDY TONY NJEJE KUTOKA ENEO LA TUKIO UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA 
MPAKA HAPA TUMEFIKIA MWISHO WA KUWALETEA TUKIO ZIMA ASANTENI SANA.


No comments: