Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 12, 2012

SIKU YA WAUGUZI DUNIANI YAFANA WILAYANI RUNGWE

Wauguzi wa wilaya ya Rungwe wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya wauguzi duniani
Mgeni rasmi mkurugenzi wa wilaya ya Rungwe Noel Mahyenga aliyeshika taa akiongoza maandamano hayo
Mkurugenzi wa wilaya Rungwe akiwa na muuguzi mkuu wa wilaya Sophia Mkonongo wakiwa wameshililia mishumaa kama ishara ya upendo
Mkurugenzi wa wilaya akitoa zawadi kwa mmoja ya wagonjwa kuonyesha upendo kwaoWauguzi nchini wametakiwa kuwa na moyo wa upendo na kuwajari wagonjwa wawapo kazini kwa kuwa muuguzi ndio mtu anayetoa huduma kwa ukaribu na muda mwingi kuwa na Mgonjwa.
Akiongea na wauguzi mkurugenzi wa wilaya ya rungwe Noel Mahyenga katika siku ya wauguzi Duniani amewataka kuongeza huduma kwa kuwa jari na kutoa huduma inayomstahiri mgonjwa.
Naye muuguzi mkuu wa wilaya ya Rungwe Sophia Mkonongo ameita serikali kutatua baadha ya changamoto amazo sasa imekuwa ni kero katika fani ya uuguzi.

Na Ally Kingo Rungwe

No comments: